UFUTA FC YAILAZA JAMAIKA FC MAVUNO CUP KILOSA
ikiwa ni hatua ya sita bora ligi ya mavuno cup inayotimua vumbi katika viwanja vya azimio wilaya ya kilosa imeendelea tena ambapo timu ya ufuta kutoka behewa mjini kilosa imeifunga jamaika kutoka magulu goli 9 -0
Magoli hayo ya ufuta yamefungwa na moses ambaye amefunga magoli nane na goli moja limefungwa na dulla jezi namba 2 mgongoni
Magoli hayo ya ufuta yamefungwa na moses ambaye amefunga magoli nane na goli moja limefungwa na dulla jezi namba 2 mgongoni