TATOO YA SHILOLE YAMKOSESHA NUHUU PENZI KWA WEMA SEPETU
ikiwa ni wiki mbili zimepita tangu wasanii hawa wa bongo flava nuhuu mziwanda na shilole kuvunja mahusiano yao nuhuu mziwanda aamua kumtongoza wema sepetu kama inavyosikika audio hapa chini
hii audio inamuweka shilole katika wakati mgumu saana kutokana na shilole kuzuiliwa kufanya shughuli zozote zinazohusiana na sanaa kwa kipindi cha mwaka mmoja na baraza la sanaa tanzania (BASATA) je vipi kuhusu tatoo aliyochora nuhuu mziwanda yenye jina la la shilole aka shishi baby