timu yenye rekodi nzuri ya ufunguzi wa ligi kuu uingereza (epl)

Ligi kuu uingereza msimu wa 2015/2016 inaanza leo na timu zote 20  zinakabiliwa mechi 38 ambapo mabingwa watetezi chelsea wanafungua dimba na swansea city

Hata hivyo mtandao wa bwin umetoa takwimu za timu za england zinazoonyesha matokea ya mechi za ufunguzi

Historia inaonyesha kwamba chelsea ndio klabu yenye rekodi nzuri ya kufanya mechi za ufunguzu katika mechi 23 za ufunguzi wa epl  ilizocheza chelsea imeshinda mechi 15 imetoa sare 5 na kupoteza mechi 3

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.