kilosa united yakubali kichapa uwanja wa nyumbani #mavuno cup kilosa

Leo tena ligi ya mavuno cup inayochezwa katika viwanja azimio wilayani kilosa imeendelea ambapo kulikia na mechi kali kati ya kilosa united chini ya mwalimu shabani na mchezaji wa zamani wa prison ya mbeya lameck sichura kutoka kilosa mjini na mbuke fc kutoka tindiga nje kidogo ya mji ambapo mechi hiyo imeisha kwa kilosa united kukubali kichapo cha magoli matatu bila 
mechi hiyo iliyoanza majira ya saa kumi jioni  na kua na idadi kubwa ya watazamaji hii ni kutokana na ubora wa timu hizo.Mbuke fc vijana kutoka tindiga walionyesha kutalawa mchezo ambapo dakika arobaini na tano za kipindi cha kwanza mbuke fc walikua wanaongoza kwa goli 3 bila

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku timu zote mbili zikionyesha makali yake lakini bahati mzuri hakuwa kwa kilosa united baada wachezaji wawili selehe pembe jezi namba 4 na calvin sengo jezi namba 13 kupewa kadi nyekundu mpaka dakika tisini za mchezo huo mbuke fc 3 na kilosa united 0


TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.