Mwanadada joketi mwegelo ameshambuliwa na wafuasi wa mh Edward lowasa baada ya kutweet kwenye account yake ya tweeter baaada ya maneno hayo kutafsiriwa kama anawakosoa watu wanaomuunga mkono mh Edward lowasa baada ya kuhama toka ccm kwenda chadema.Maneno yenyewe kama yanavyoonekana hapo chini