SHETA ADAIWA KUIMBA DEDICATION KWA MKEWE

Ni muda sasa tangu msanii wa hiphop tanzania maarufu kama shetta aka mzee shikolobo aachane na mke wake mama Qayllah kwa tuhuma ya mahusiano na mwigizaji Rose ndauka


Hivyo basi kufuatia jambo hilo leo shetta amepost kwenye account yake ya instagram video inayomuonyesha akiimba ikiwa ni kama dedication kwa mkewe

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.