JACKIE CHAN AVUNJA RECORD HIZI

Jackie chan ameingizwa kwenye kitabu cha "GUINESS BOOK" baada kuweka record ya zifuatazo

jackie chan ndie mwigizaji anae ongoza kwa kutumie scene nyingi anatumia scene 2900

Jackie chan ndie anaengoza kwa kufanya mazoezi hatari

Jackie chan katika movie yake ya CHAIN ZODIAC aliweka rekodi ya kufanya kazi nyingi kama
Director
producer stunt
perfomer stunt
cordinator stunt
lead actor
themes song
editor
script writter
na kazi nyingine nyingi zinazohusiana na movie hiyo kama kupika chakula location

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.