FOMU YA KUGOMBEA URAIS CHADEMA MZIGO WA MIIBA
wakati leo saa 10 jioni ndio muda wa mwisho uliopangwa kurejesha fomu za kuwania urais, ndani ya chadema hadi sasa hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu
Hadi sasa zimetolewa kauli mbalimbali ambazo zinaonesha kusuasua kwa mchakato huo hadi kupelekea kuahirisha mara kadhaa kumsimamisha mgombea.Hali hii imezidisha sintofahamu ndani ya chama hicho na ukawa na kuwepo kwa maneno mtaani yasiyo rasmi kwamba pengine kuna mgombea kutoka chama kingine anasubiriwa
Lakini wajumbe wa vikao vya mashauriano wamekubaliana kua mgombea wa ukawa awe katibu mkuu wa chadema Dr willibrod slaa, baadhi ya wajumbe kutoka chama hicho wanadai kukataa kutangazwa kwake hata hivyo walipoulizwa kuhusu kumkaribisha waziri mkuu wa zamani Edward lowassa kutoka ccm viongozi na wabunge wa chama hicho walisema "anakaribishwa ili mradi tu afuate kanuni na taratibu
Suara la mgombea urais wa chadema na ukawa limeendelea kuteka mjadala wa kisiasa nchini huku watanzania wakisubiri kumfahamu nani atateuliwa
Katika mkutano wake uliofanyika mjini mwanza jumatano ambao ulipamgwa kutumika kumtangaza ngombea urais wa chama hicho mwenyekiti wa chama hicho freeman mbowe aliwambia watanzania waendelee kuwa kuvumilia wakati wanakamilisha taratibu