FOLENI YA UANDIKISHWAJI KATIKA DAFTARI LA KUPIGA KURA CHANGAMOTO KWA BODABODA
Ikiwa ni siku ya tatu tangu zoezi la uandikishaji wa vitambulisha vya kupigia kura katika daftari la kudumu mkoani morogoro na mikoa mingine ikiwa ni hatua ya awali kuelekea kwenye uchaguzi wa madiwani wabunge na rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania october 25 /2015
Katika zoezi hili imeonekana kuna mikoa zoezi lilikua gumu lakini baadha ya sehemu lilienda vizuri licha ya kuwepo na foleni ambayo imekua ni kitu ambacho kinawafanya baadhi wa watu kushindwa kuhimili foleni hizo kutokana na kazi zao hili limeoneka kwa madereva bodaboda ambao walisema "mimi siwezi kukaa foleni wakati bosi jioni anataka kipande