LUIS VAN GAAL NA HUYU MCHEZAJI MGUMII TU

mshambuliaji wa paris st german na nahodha wa timu ya taifa ya sweden anasema anatamani kujiunga na mashetani wekundu manchester united lakini anahofia ngumi za kila siku na kocha Luis van gaal

Akiwajibu waandishi wa habari kama yupo tayari kujiunga na manchester united baada kuwepo na tetesi kwamba mchezaji huyo kutokua na mahusiano mazuri na kocha wa timu hiyo tangu 1990's wakiwa Ajax

Zlatan maarufu kama cadabra anahusishwa na tetesi za kujiunga na AC milan ya italia baada ya kusema amechoshwa na ubora wa ligi ya ufaransa

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.