ARSENAL WENGER SIFIKIRII KUSTAAF

Kocha wa arsenal  Arsenal wenger ambaye amekua ni kocha anaechukiwa na mashabiki wa timu hiyo kwa tabia yake ya ya kutumia pesa kidogo kwenye suala la kusajili wachezaji na yeye kuwauza kwa bei kubwa

Arsenal wenger anasema mimi siwezi kua kama vilabu vya manchester united au manchester city kutoa madau makubwa kutaka kusajili wachezaji hiyo ndo sera yangu alisema kocha huyo

Swali la msingi aliloulizwa kocha huyo ni ni kuhusu kustaff soka jibu lake ni rahisi " huwa najikuta nawaza hicho kitu lakini mawazo hayo hayakai kichwani mwangu hata sekunde tano #shaffihdauda

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.