CCM YATOA TAMKO
Aliyekuwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh edward ngoyaye lowasa ameamua kukata utepe na kutatua maswali yaliyokua hayana majibu kwa watanzania baada kujiunga na UKAWA
Hii limetokea baada ya kamati ya maadili ya ccm eti kutotenda haki kwa mujibu wa taratibu na kanuni za chama hicho kutopitisha jina lake