VIDEO MPYA : KUTOKA JOHN MAKINI FT CHIDINMA_PERFECT COMBO

john makini mwana hiphap kutoka arusha tanzania anayeiwakilisha vizuri tanzania katika tasnia ya music ambapo mpaka sasa ni wimbo wake wa pili kuwashilikisha wasanii kutoka nje ya bongo ambao ni AKA kutoka south africa ambapo leo katika nyimbo hii kashirikiana na mwanadada kutoka nigeria CHIDINMA katika wimbo uitwayo PERFECT COMBO hii ni video ilitengenezwa na JUSTINE CAMPOS

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.