RECORD YA UJERUMANI NA UFARANSA KATIKA MICHUANO MBALIMBALI WALIVYOKUTANA

katika michuano ya euro inayo endelea nchini ufaransa ambapo hapo jana iliwakutanisha ufaransa dhidi ya iceland ambapo mechi hiyo imeisha kwa ufaransa kutoka na magoli matano yaliyofungwa na payet gireoud griezman pogba na ambapo giroud alifuna magoli mawili na kua man of the match huku magoli ya iceland birkir bjarnason na kolbeinn sogthorsson na hivyo ufaransa kufuzu hatua ya nusu fainali ambapo watakutana na ujerumani ambao walifuzu katika hatua hiyo baada ya kuifunga italy kwa penati 4-3.Ifuatayoni record ya ujeruman na ufaransa walivyokutana
                       
STATSGERMANYFRANCE
Machi walizo cheza 2525
kushinda811
kufungwa118
Droo66
jumla ya magoli4241
RECORDS


nafasi katika viwango vya FIFA                           2 [Jul 2014]17 [Jul 2014]
nafasi kubwa iliyowahi kushika FIFA11
ushindi mkubwa ilio wahi kushindavs Russia [16-0]vs Azerbaijan [10-0]
wafungaji walio wahi kufunga magoli mengiMiroslav Klose [70]Thierry Henry [51]
-

Germany vs France matokea ya mechi zote

DATEGERMANY          FRANCE
06 Feb 2013                    21
29 Feb 201212
12 Nov 200500
15 Nov 200303
27 Feb 200101
01 Jun 199601
28 Feb 199012
12 Aug 198721
25 Jun 198620
18 Apr 198401
08 Jul 198233
19 Nov 198041
23 Feb 197701
13 Oct 197321
25 Sept 196811
27 Sept 196751
24 Oct 198222
26 Oct 195822
28 Jun 195836
16 Oct 195413
05 Oct 195213
21 Mar 193740
17 Mar 193531
19 Mar 193333
15 Mar 193101

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.