vodacom yaongeza mkataba ligi kuu tanzania bara

wametanganza kusaini mkataba mpya wa ligi kuu tanzania bara ambao utadumu kwa miaka mitatu baada ya makubaliano na TFF na bodi ya ligi TPLB
mkataba huo mpya umetangazwa rasmi ambapo vodacom ambao ndo wadhamini wa ligi kuu tanzania bara wametoa Tsh 1.2 bilion ambazo zitaenda kwenye vilabu ili viweze kujiendesha vyenyewe
"
Tunategemea kuona ligi yetu inazidi kuwa bora kila msimu ambapo msimu tumeongeza idadi ya timu mpaka kufikia timu 16 wakati hapo mwanzo tulikua na timu 14 "
ligi hiyo inayoanza siku za hivi karibuni itakua na timu nne ambazo zimepanda daraja msimu huu ambazo ni majimaji ya songea, african sport ya tanga , toto afrika ya mwanza na mwadui fc ya shinyanga

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.