nikk wa pili amua kuacha kuimba hiphop

msanii wa hiphop kutoka kundi wa weusi nikki wa pili amuamua rasmi kuachana na muziki wa hiphop na kuanza kuimba bongo flava

Msanii huyo ambaye pia ni msemaji wa kundi hilo amesema maneno hayo kipitia account yake ya instagram ikiwa ni moja ya ujio wa ngoma yake mpya itwayo "mapenzi matamu" nikki wa pilli amesema " nipo kwenye huu muziki wa hiphop toka mwaka 1997 mpaka leo ni takribani miaka 15 nimefanya ngoma nyingi kama matusi, mti wenye matunda ,nauza kura yangu , mauongo B3 ,maarifa ,nyerere ,maktaba ya walaumiwa ,mtaani watu buu na macho yangu.....sasa nimeamua kubadilika rasmi na kuingia kwenye mziki wa bongo flave nikifuata nyayo za ney wa mitego,shetta na cyrill

kwa kuanza naanza na ngoma yangu mpya itwayo mapenzi matamu


TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.