ujumbe wa lowassa kwa wana ukawa

MH  EDWARD NGOYAYE LOWASSAmaneno ya waziri mkuu mstaafu kwa wafuasiwake baada ya kuhamia ukawa baada ya aliyekua rais wa awamu ya tatu mh benjamini wiliam mkapa kuwaita ukawa "wapumbavu,'malofa"#Mwanaukawa ,raia mwema naombeni msamehe maneno ya rais mstaafu benjamini mkapa kwa kitendo chake cha kutuita wapinzani ni wapinzani ni wapumbavu na malofa 

mlipize ubaya inawabidi msamehe kwa moyo mmoja .Niliwambieni campaign zetu zitakua za kiustaarabu kabisaa na tutakua wawazi kwa watanzania kuanzia tulipotoka na tuendako 

Naombeni msambaze ujumbe huu katika magroup yenu kupunguza jazba kwa wana ukawa wote

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.