dakika 83 za mchezo happy oil na mawenzi fc #mavuno cup kilosa

mechi hiyo iliyojaza watazamaji wengi pengine kuzidi mechi zote zilizochezwa tangu ligi hiyo ianze
happy oil ndio walikua wa kuanza kufunga goli katika dakika ya 23 ya mchezo ambalo halikudumu saana mawezi fc wakasawazisha
mpaka timu hizo zinaenda mapumziko zikiwa zimefungana goli mojamoja

waliokuepo uwanjani hapo kuingilia kati na kupelekea mechi hiyo kuisha bila kua na matokeo yasiyofahamika ambapo kamati ya iliyoandaa ligi hiyo kukaa kikao cha dharula na kutoa tamka kwamba happy oil kama hawajakubaliana na maamuzi ya refalii wa mchezo huo ni haki yao kukata lufaa ndani masaa matatu baada mechi kuisha kama zinavyoeleza sheria za mpira wa miguu