nick minaji atangaza kuwa ni mjamzito
Rapa wa kike aliyejizolea umaarufu kupitia lebo yake cash money Nick minaj hivi karibuni ametangaza kuwa ni mjamzito
Nick minaj mwenye umri wa miaka 32 aliweka wazi jukwaani katiks tamasha kubwa lililojumuisha ziara yake ijulikanayo kama pinkprint tours huko pennsylvama ambapo alipanda na mchumba wake meek mill na kusema
"piga kelele kwa baba wa mtoto wangu" l
lakini baada ya show alipost tena hayo maneno kenye account yake ya twitter
kwa kipindi kirefu nick amekuwa na mahusiano na meek mill ambapo hivi karibuni mahusiano hayo yalitetereka baada meek mill kurushiana matusi na drake kwenye mitandao ya kijamii