Mbunge viti maalumu afariki dunia

.
Aliyekua mbunge wa viti maalumu kupitia CUF mama mwatuka amefariki dumia baada baada ya gari lake kupinduka lilipokua linashuka makonde plateu kuja ndanda

Gari hilo liliokua linaendeshwa na dereva wake ambaye inasemekama ni mtoto wake
maiti zimeifadhiwa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa ya ndanda
ntazidi kuwajulisha nini kinaendelea

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.