UDSM IPO ? KWENYE VYUO BORA AFRIKA

kwa mujibu kwa uchunguzi uliofanywa na jarida la world university international rinking limeorodhesha vyuo vikuu bora duniani ambapo kwa afrika vyuo kumi bora hakuna chuo chochote kutoka tanzania

Wakati vyuo kutoka afrika kusini vikifanya vizuri kwa ubora na umaarufu, katika utafiti huo uliofanyika majuzi kwa mwaka 2014/2015  kwa kuangalia nukuu kutoka kwa wasomi vyuo vikuu vya afrika kusini vilishika nafasi sita kama vilivyoorodheshwa hapa chini
1 chuo kikuu cha cap town afrika kusini
2 chuo kikuu cha witwatersrand afrika kusini
3 chuo kikuu cha makerere uganda
4 chuo kikuu cha stellenbosch afrika kusin
5 chuo kikuu cha kwanzullu natal afrika kusini
6 chuo kikuu cha port harcout nigeria
7 chuo kikuu cha westen cap afrika kusin
8 chuo kikuu cha nairobi kenya 
9 chuo kikuu cha johansburg afrika kusini 
10 chuo kikuu cha cadi ayyad morocco 

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.