
siku ambayo watanzania watatambua kwamba walipaswa kua mbali saana kimaendeleo na kujua kwamba kikwako ni ccm na kukiondoa haiko mbali
hakuna msafi ccm wala hii si habari mpya ubora wa ccm ulizikwa na azimio la zanzibar mwaka 1994 kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua
nashukuru ukawa kwa imani kubwa ya mabadiliko iliyoanza mwaka 1992 kwa vyama vingi imebaki miezi michache kushindanda kura yako ya ukombozi