50 CENT AOMBA SHERIA IMLINDE

mwanamuziki maarufu nchini marekani na duniani kote cartis james jackson ameomba sheria ya 11 ya kufilisika imlinde kufuatia kushtakiwa na mwanamke mmoja hivi baada ya rapa huyo kurusha video chafu za mwanamke huyo mitandaoni bila ridhaa yake

mahakama imeamuru msanii kulipa dola za kimarekani milioni tano

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.