NYIMBO MPYA KUTOKA KWA CHRIS BROWN FT WIZKID --SHABBA

Hii ni hatua ambayo kwa kweli wizkid anapaswa kupongezwa lakin pia iwe somo kwa wasanii wa tanzania kua na juhudi za makusudi kama diamond platnumz ambaye amekua anaiwakilisha vyema tanzania katika tasnia ya mziki .Wizkid kupia wimbo huu amekua akizungumzwa saana katika vyombo mbalimbali vya redio na tv kana MTV BASE

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.