VideoMPYA: Mh. Temba anayofuraha kukuonyesha video yake mpya, ndani kacheza na mrembo Nelly Kamwelu

video mpya kutoka kwa mh temba ambayo imetengenezwa na lebo ya wanene chini ya director hanscana  ikiwa ni ujio mpya wa msanii huyu ambaye ambaye amekaa kimya kwa mrefu video inaitwa FUNDI

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.