NIMEKUWEKEA MATOKEA YA LIGI KUU TANZANIA BARA

                                 vplMichuano ya ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena leo December 26, 2015 kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania bara na kushuhudia matokeo tofauti katika viwanja hivyo kwa baadhi ya timu kuibuka na pointi tatu huku zingine zikishindwa kabisa kutamba na baadhi ya mechi kumalizika kwa timu kugawana pointi.
Haya ni ni matokeo ya mechi zote ambazo zimepigwa leo siku ya Boxing Day.
Mwadui FC 1-1 Simba 
Ndanda FC 1 – 3 JKT Ruvu 
Coastal Union 1 – 3 Stand United 
Maji Maji FC 0 – 2 Prisons
Mtibwa Sugar 3-0 Mgambo JKT

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.