Luis van gaal hana imani na timu yake dhidi ya manchester city

http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/vann.jpg
Kama hauamini basi habari ndio hiyo…kocha wa Manchester united Luis Van Gaal ambae kesho timu yake itaingia kwenye mechi kubwa ya kishabiki dhidi ya Manchester city, amesema wapinzani wao wana nafasi kubwa ya kushinda hiyo mechi.
Van Gaal amesema hivi, “Ukiangalia facts za kwenye msimamo wa ligi, utofauti wa magoli nadhani wana nafasi kubwa ya kushinda mechi zaidi yetu. Lakini pia nadhani hii ni ishara nzuri kwa timu kama kwasababu wanajua timu wanayoenda kukutana nayo”
Hayo ni maneno ya Luis Van Gaal ambayo hayawezi kubadilisha mchezo. Kama ilivyokua kwa watu wengi wakidhani kwamba Bayern itawafunga Arsenal kwenye UEFA lakini mambo yamekua tofauti.   


 source shaffih dauda.com

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.