Agnes masogange adai ukaribu wake na davido ndio uliofanya tekno akurupuke na kusema hawakuwahi kua na mahusiano


Video Queen maarufu zaidi wa Bongo, Agnes Masogange amedai ukaribu wake na staa wa Nigeria, Davido ndio uliomfanya Tekno miles kupanick na kudai kuwa hawakuwahi kua na uhusiano.
Tetesi za uhusiano kati ya Mwanadada huyo mwenye umbo la utata Agness Masogange na muimbaji wa huyo wa ‘Duro’ zilianza miezi michache iliyopita baada ya Agnes kupost picha akiwa kwenye kitanda kimoja na Tekno, ikifuatiwa na kupost mfululizo wa picha za Tekno kwenye Instagram yake hadi kubadilisha jina na kujiita Didi Miles #teamtz.

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.