TANZANIA KUINGIA VITANI NA MALAWI KOMBE LA DUNIA

Timu ya taifa tanzania taifa stars imepangwa kucheza na timu ya taifa ya malawi katika raundi ya kwanza ya kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya kombe la dunia 2018 nchini russia

Endapo tanzania itapita hatua hiyo katika round ya pili watacheza dhidi ya Argeria na mshindi kati yao atakua ameingia katika hatua ya makundi ya kuwania tiketi ya kucheza michuano hiyo ya dunia

Mechi ya kwanza dhidi malawi itachezwa tarehe 5 october 2015 na mechi ya marudiano itapigwa tarehe 13 october 2015

Droo hiyo ya kupanga mechi hizi imefanyika leo st petersburg nchini russia ambapo fainali zitafanyika

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.