RUSHWA YAMPELEKA MESS GABON

imeripotiwa kwamba mchezaji wa barcelona na timu ya taifa ya argentina lion mess anatimiza ahadi yake ya kuitembelea gabon kwa rais Ali bongo ambaye anashutuma nyingi za udikteta na  kula rushwa

Bila kuchelewa messi akiwa na deco walifika nchini gabon na messi kuweka jiwe la msingi kwenye uwanja wa taifa wa nchi hiyo iliyopo afrika magharibi


Ripoti zilizitokea kwa wana habari wa ufaransa zinasema messi alipokea kiasi cha £ 2.4 milion ikiwa kama malipo ya kutembelea nchini humo kwaajili ya kuzindua uwanja huo
wachambuzi wa mambo wanasema kwamba kwa status ya mess hata kama angepewa mwaliko huo na rais huyo bila kumpa chochote isingewezekana kwa sifa mbaya alizonazo rais huyo 

Lakini pia wachambuzi hao wanasema kua rais huyo ametumia pesa za wananchi kumlipa mchezaji huyo

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.