mwigizaji elizabeth maiko ameamua kuweka kufunguka kwamba kwanini aliamua kufunga account yake ya instagram kwamba alikua anatengeneza movie yake mpya ambayo hakuiweka wazi
Elizabeth maiko account yake ya instagram ilikua na followers zaidi ya laki tatu