KIONGOZI WA ADF AKABIDHIWA UGANDA

Jeshi la uganda limesema kiongozi wa kundi la waasi linalaumiwa kwa mauaji ya watu zaidi 1000 amekabidhiwa uganda baada ya kusafirishwa kutoka tanzania

Jamil mukul ambaye alikamatwa nchini tanzania mweizi aprill ni kiongozi wa kundi la  la ADF ambalo limelaumiwa kwa kuendesha mashambulizi mashariki wa uganda na mji mkuu kampala

Pia anashtakiwa kwa mashtaka yanayohusiana na vita nchini jamhuri ya kidemocrasia ya congo

Jeshi la congo liliendesha operation kubwa dhidi ya waasisi wa ADF mwaka jana

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.