Yanga itafika fainali kagame ajigamba plaijm

Kocha wa yanga Hans der van der plajm amesema anauhakika kwamba kikosi chake kitacheza fainali ya michuano ya kombe la kagame inayoendelea jiji dar es salaam

Plajm amesema ushindi wa 1-0 ambao waliupata juzi dhaidi ya karthoum ya sudan umedhihilisha ubora wao licha kuanza vibaya michuano hiyo kwa kufungwa na Gor mahiya kwenye mchezo wa ufunguzi

"Nafurahi kuona tumeanza kurudi kwenye ubora wetu baada kuanza,kila mchezo tumekua tunabadilika na kiwango tulichoonyesha kwenye mechi tatu zilizo pita na hii ni ishara kwamba tunataka ubingwa

TAFADHALI TUPE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.